EnglishSvenskaدریAzeriKirundiFrançaisفارسیعربیعربیlatviskiYurobaTagalogDhopadhola-Swahili
 
 
   
   
   

Örebro Goes Global ni jumuiya ambayo inaunganisha bidhaa za mazingiro za Sweden kwa ujumla na udumishaji wa mishati katika soko la dunia. Tunashilikiana na makampuni mbalimbali yanatoa  ufumbuzi dhidiya mishati ya upepo,mishati ya jua na GEOTHERMALTHEAT.Tunaowahusisha  ni wahamiajii wote wamaishi Sweden na wenye elimu ya jua wote wana utoalamuwa lugha. (karibu 32 tafauti ) na haswa. Africa mashariki ya kati. Thebalkanstates, China, na India. Sisi ni wawakilishi wa mkoa wa  örebro na tunashilikiana na biashara ya Sweden. Taa sisi ya biashara ya Mälardalen na uongozi wa mkoa wa Örebro. Tunatoa maelekeo kuhusu bidhaa mpya za kwokoa mazingira zenye ubora wa kiswedishi katika lugha nyingi tafauti. tunaweza kutoa maelekezo moja kwa moja kutoka madalaka madogo na makampuni ya kiswidishi ambayo ya ne weza kutoa ushauri na kusaidia njia  mbalimbali za biashara. Kuna uwezekano vilevile wa kuwaalika vyama,vikundi mbalimbali ili kupata maelekezo kuhusu bidhaa zao na  kubadilishana maarifa.

   
 
 
 
 
 
Godfrey Okello Akanga
Exportsäljare
språk:Swahili, engelska, svenska Uganda
+46(0)702670968
 
   
   
 
             
   

 

 

   
     
     
WWW.OREBROGOESGLOBAL.SE